Ripoti: Njia ya kumfanya mtoto anayelia sana apate usingizi
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea ripoti kuhusu utafiti uliofanywa na wanasayansi wa Kijapani wakiongozwa na Kumi Kuroda kuhusu "Njia ya kumfanya mtoto anayelia sana apate usingizi." Usikose kusikiliza!