Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, mgeni wetu ni Eunice Likotiko ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini Japani. Anatusimulia mambo mengi kuhusu umoja huo na maisha yake nchini Japani. Usikose kusikiliza!
Eunice Likotiko, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini Japani.