Mahojiano: Greg Hassan Kizungluka
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, mgeni wetu ni Greg Hassan Kizungluka, Mkurugenzi wa Uhusiano kwa Umma wa Radio Canal Tanganyika iliyopo Jimbo la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hatimaye, kipindi kitafikia ukingoni baada tu ya sisi kutangamana nawe msikilizaji kwa kusoma ujumbe wako. Usikose kusikiliza!
Greg Hassan Kizungluka Mkurugenzi wa Uhusiano wa Umma wa Radio Canal Tanganyika.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Radio Canal Tanganyika.