Mahojiano: Eugene Meshi
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, mgeni wetu ni Eugene Meshi, mwanafunzi wa shahada ya uzamivu anayesomea Japani kutoka Tanzania. Hatimaye, kipindi kitafikia ukingoni baada tu ya sisi kutangamana nawe msikilizaji kwa kusoma ujumbe wako. Usikose kusikiliza!
Eugene Meshi, mwanafunzi wa shahada ya uzamivu anayesomea Japani kutoka Tanzania.