Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, mgeni wetu ni Mtanzania Frank Semaganga, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Japani (TANZANITE), ambaye anatusimulia mambo mengi kuhusu jumuiya hiyo. Usikose kusikiliza!
Frank Semaganga, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Japani (TANZANITE).