Mahojiano: Dr. Said Mohamed
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, mgeni wetu ni Mtanzania Dr. Said Mohamed mtaalam wa Mifumo Shirikishi ya Akili Kompyuta na Uhandisi wa Programu za Kompyuta ambaye anatusimulia mambo mengi aliyojifunza kuhusu utamaduni wa mkoa wa Okinawa. Usikose kusikiliza!
Dr. Said Mohamed mtaalam wa Mifumo Shirikishi ya Akili Kompyuta na Uhandisi wa Programu za Kompyuta.