Mahojiano: Anyango
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, mgeni wetu ni Anyango, mpigaji stadi wa ala ya nyatiti. Atatuelezea safari ya muziki wake wakati wa kipindi cha janga la virusi vya korona na mipango yake ya kufanya matamasha katika nchi za Tanzania na Kenya. Usikose kusikiliza!
Anyango ni mpigaji wa kwanza wa kike wa ala ya nyatiti.