Mahojiano: Prof. Sakamoto Kumiko na Mchoraji Francis Imanjama
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na Prof. Sakamoto Kumiko wa Chuo Kikuu cha Utsunomiya na mchoraji Mtanzania, Francis Imanjama. Wawili hao watazungumzia kitabu chao kiitwacho, "Ngoma za Ajabu za Nyota, Hadithi ya Kijiji Kimoja nchini Tanzania." Katika "Kifahamu Kijapani" wiki hii, tutajifunza mengi kuhusu sheria kali za shule nchini Japani.
Mchoraji Mtanzania, Francis Imanjama.
Prof. Sakamoto Kumiko wa Chuo Kikuu cha Utsunomiya.
Kitabu cha picha kiitwacho, "Ngoma za Ajabu za Nyota, Hadithi ya Kijiji Kimoja nchini Tanzania."