Mahojiano: Hayakawa Chiaki
Mgeni wetu kwa leo ni Hayakawa Chiaki, Mjapani ambaye ameishi nchini Kenya kwa zaidi ya miaka 30, kuipenda nchi hiyo na kujihusisha na miradi mbalimbali ya kuwasaidia watoto.
Hayakawa Chiaki
Hayakawa akiwa mbele ya nyumba za Kibera