Mahojiano: Wasirwa Nassan David
Mgeni wetu kwa leo ukumbini ni Wasirwa Nassan David, Mkenya anayeendesha mgahawa nchini Japani kwa ubia na Mjapani.
Wasirwa Nassan David akifurahia chakula.
Nassan akiwa mbele ya mgahawa anaouendesha kwa ubia na Mjapani.
Tambi za ramen za Kenya