Mahojiano: Gatera Rudasingwa Emmanuel & Mami Yoshida Rudasingwa
Tunazungumza na Gatera Rudasingwa Emmanuel pamoja na mkewe Mami Yoshida Rudasingwa, waasisi wa mradi wa Mulindi Japan One Love, unaoshughulikia utengenezaji wa viungo bandia kwa ajili ya watu wenye ulemavu.
Gatera Rudasingwa Emmanuel na Rudasingwa Mami
Msichana aliyepoteza mguu wake kwenye ajali ya gari anatengenezewa mguu bandia.