Mahojiano: Tuma Dandi, Rais wa Kamati ya Paralimpiki Tanzania.
Tutakuwa na Tuma Dandi, Rais wa Kamati ya Paralimpiki Tanzania, kuzungumzia maswala mbalimbali ya michezo hususan kwa watu wenye ulemavu.
Tuma Dandi, Rais wa Kamati ya Paralimpiki Tanzania.