Mahojiano: Aristides Mbwasi
Kwa leo, mgeni wetu tutakayemhoji ni Aristides Mbwasi, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uwekezaji kutoka ofisi ya Waziri Mkuu nchini Tanzania.
Aristides Mbwasi, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uwekezaji nchini Tanzania