Tamasha la JICA
Mtangazaji wetu Radhia Suzuki atakusimulia mengi kuhusu tamasha la Shirika la Japani la Ushirikiano wa Kimataifa (JICA) lililofanyika kwa njia ya mtandao, likiangazia masuala ya biashara.