Mahojiano: Katsuyuki Sakamoto
Mgeni wetu tutakayemhoji kwa leo ni Katsuyuki Sakamoto, Mjapani aliyevutiwa na Afrika akiwa na umri wa miaka mitano.
Katsuyuki Sakamoto.
Sakamoto akiwa na washiriki wa tamasha lake.
Utengenezaji wa matofali wakati wa semina.