Mahojiano: Bahati Rodgers
Kwenye sehemu ya mahojiano, tutakuwa naye mgeni wetu Bahati Rodgers.
Bahati Rodgers akiwa na bendera iliyotolewa na wakazi wa Nagai wakiwatakia heri njema wanamichezo Watanzania.
Rodgers akiwa na Juma Ikangaa na wengineo kwenye marathoni ya Nagai (Msimu wa Pukutizi 2019)
Rodgers akitoa hotuba kama mkuu wa polisi wa siku (Msimu wa Pukutizi 2018)
Rodgers akifurahia dansi ya simba wakati wa tamasha la eneo (Msimu wa Joto 2019)