Mahojiano: Esther Samuel Kanomata
Tunakuletea mahojiano na Esther Samuel Kanomata, mwalimu wa Kiswahili katika Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japani, JICA.
Esther Samuel Kanomata.
Ameanza tena kufundisha baada ya kipindi kirefu cha kutofundisha kutokana na korona.
Masomo yanaendelea huku hatua za kuzuia maambukizi kama vile uwekaji wa hivi vitenganishi zikichukuliwa.