Kongamano la Kiswahili jijini Seoul
Tunakuletea ripoti juu ya Kongamano la Kiswahili lililoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini kwa kushirikiana na wadau mbalimbali. Kongamano hilo lilifanyika kwa njia ya mtandao na watu zaidi ya 350 walishiriki.
Washiriki wa kongamano la Kiswahili jijini Seoul