Mahojiano: Fidea Kobayashi
Tutakuwa na mahojiano na Fidea Kobayashi, Mtanzania anayeishi Japani na kujitoa kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu nchini Tanzania.
Fidea Kobayashi.
Fidea amesaidia kuchimba visima vya kutumiwa na watoto mayatima.
Anawatumia watoto mabegi ya kwenda nayo shuleni.
Kitabu kilichochapishwa kumhusu.