Mahojiano: Okamoto Ryuta
Tutakuwa na mahojiano na Okamoto Ryuta anayesimamia mradi wa kuwasaidia wakulima wadogo wadogo nchini Tanzania.
Okamoto Ryuta.
Mkutano wa wakulima wa mradi huo.
Okamoto akiwa amewatembelea wakulima anaofanya nao kazi.
Okamoto akiwa na wakulima hao na familia zao.