Ripoti: Reuben Kyama
Tutakuletea ripoti ya mwandishi wetu Reuben Kyama kutoka Nairobi ikiangazia namna vijana kutoka Kenya na Japani wanavyojibidiisha kutatua tatizo la taka.
Afisa mkuu mtendaji wa ECODUDU, Adan Mohammed.
Wanafunzi katika Taasisi ya Kitaifa ya Teknolojia, Chuo cha Nagaoka.
Viwavi wa wadudu weusi ni wazuri katika kurutubisha taka asilia, na wanakuwa na lishe nyingi wanapoliwa.
Wanafunzi Wajapani walibuni kifaa kinachotumia chungio tatu za ukubwa tofauti kutenganisha mchanganyiko wa viwavi ipasavyo kabisa.