Mahojiano: Furumoto Makoto
Tutakuwa na mahojiano na Furumoto Makoto ambaye ni mtafiti mshiriki katika Taasisi ya Utafiti wa Lugha na Tamaduni za Asia na Afrika katika Chuo Kikuu cha Tokyo cha Masomo ya Kigeni nchini Japani.
Mtafiti Furumoto Makoto.
Furumoto Makoto akiwa na mkazi wa Zanzibar.
Tamasha la kitamaduni Zanzibar.