Mahojiano: Ahmed Salum
Ahmed Salum, mtangazaji wa zamani wa Idhaa ya Kiswahili ya NHK World atazungumza nasi katika kipindi cha Ukumbi wa Jumapili.
Ahmed Salum
Ahmed nchini Japani
Ahmed akiwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro, Tanzania.