Mahojiano: Francis Magezi
Katika Ukumbi wa Jumapili, tutazungumza naye Francis Magezi aliyewahi kuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Redio Japani.
Francis Magezi akiwa ofisini.
Francis Magezi akifurahia mandhari ya Tohoku.