Mahojiano: Uno Midori
Mgeni wetu katika Ukumbi wa Jumapili ni Uno Midori, Mjapani anayejishughulisha mno na kazi za kufasiri kazi mbalimbali za Kiswahili kwenda katika Kijapani.
Uno Midori, mfasiri wa kazi za Kiswahili.
Uno Midori akiwa katika studio za Redio Japani enzi za ujana wake.
Uno Midori akishika kitabu alichokifanyia fasiri.