Ripoti: Kampuni Zinazochipukia Afrika (Marudio)
Tutakuletea marudio ya ripoti kuhusu shindano lililofanyika mtandaoni likiwahusisha wajasiriamali wanaochipukia kutoka Afrika.
Innocent Menyo, mshindi wa shindano kutoka Uganda.
Daniel Elliot Kwantwi aliyeibuka wa pili kutoka Ghana
Wataalam Wajapani walioshiriki shindano.