Ripoti: Kampuni Zinazochipukia Afrika
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuletea pia ripoti kuhusu shindano lililofanyika mtandaoni likiwahusisha wajasiriamali wanaochipukia kutoka Afrika.
Innocent Menyo, mshindi wa shindano kutoka Uganda.
Daniel Elliot Kwantwi aliyeibuka wa pili kutoka Ghana
Wataalam Wajapani walioshiriki shindano.