Mahojiano: Kinyua Laban Kithinji
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na Kinyua Laba Kithinji, Mtafiti mwalikwa katika Chuo Kikuu cha Hosei nchini Japani.
Kinyua Laban Kithinji
Kinyua Laban Kithinji akiwa shamba la chai mkoani Shizuoka nchini Japani.
Bustani ya mapumziko nchini Japani