Mahojiano: Swinky
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na Swinky, msanii wa muziki kutoka Kenya, anayefanya shughuli zake nchini Marekani.
Swinky