Mahojiano: Sato Shu na Anyango (Marudio)
Tutakuwa pia na mahojiano na Sato Shu, Mjapani aliyewahi kuhudumu na Shirika la Japani la Ushirikiano wa Kimataifa (JICA) kama mfanyakazi wa kujitolea nchini Tanzania, pamoja na Anyngo, binti Mjapani aliyebobea katika kucheza ala ya Nyatiti ambayo ni maarufu sana nchini Kenya.
Sato Shu (kushoto) akiwa na rafikiye.
Anyango akicheza ala ya Nyatiti.