Mahojiano: Anyango
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuletea pia mahojiano tuliofanya na Anyango, binti Mjapani aliyebobea katika kucheza ala ya Nyatiti ambayo ni maarufu sana nchini Kenya.
Anyango akicheza ala ya Nyatiti.
Anyango akisimama kwa madaha huku kaishikilia ala ya Nyatiti.