Mahojiano: Igari Yuki, Muraoka Tomoko na Brian Ochieng Otieno (KESTES) (Marudio)
Tutakuwa na marudio ya mahojiano na wageni wetu Igari Yuki, mshindi wa mashindano ya hotuba ya kiswahili ya Chuo Kikuu cha Soka nchini Japani mwaka 2020, Muraoka Tomoko, Mjapani ambaye ni mwanachama wa kundi la KESTES linaloundwa na Wajapani waliowahi kufanya kazi za kujitolea nchini Kenya kupitia JICA, pamoja na Brian Ochieng Otieno, Mkenya aliyepata ufadhili wa masomo kutoka kundi hilo.
Brian Ochieng Otieno (KESTES)
Igari Yuki (kushoto) akihojiwa na Batlet Milanzi.