Mahojiano: Sato Shu
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia utasikiliza mahojiano kati yetu na Sato Shu, Mjapani aliyewahi kuhudumu na Shirika la Japani la Ushirikiano wa Kimataifa (JICA) kama mfanyakazi wa kujitolea nchini Tanzania.
Sato Shu (kushoto) akiwa na rafikiye.