Mahojiano: Tosha Maggy na ripoti ya Reuben Kyama (Marudio)
Utasikiliza mahojiano kati yetu na Tosha Maggy anayefanya kazi na shirika lisilokuwa la kujipatia faida la Terra Renaissance nchini Uganda, na kisha ripoti ya Reuben Kyama akikusimulia safari ya msanii Mjapani, Yamashita Rui nchini Kenya.
Bi. Tosha Maggy (kushoto)
Msanii Yamashita Rui akiwa na rafikiye Mkenya akionyesha baadhi ya kazi zake.