Mahojiano: Muraoka Tomoko & Brian Ochieng Otieno (KESTES)
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutakuwa na mahojiano na Muraoka Tomoko Mjapani ambaye ni mwanachama wa kundi la KESTES. Hili ni kundi linaloundwa na Wajapani waliowahi kufanya kazi za kujitolea nchini Kenya kupitia JICA, pamoja naye Brian Ochieng Otieno mnufaika wa kundi hilo.
Brian Ochieng Otieno
Mnufaika wa huduma ya kundi la KESTES (katikati) na na mwanachama wa KESTES (kulia)
Mnufaika wa huduma ya kundi la KESTES (kulia) na mwanachama wa KESTES