Mahojiano: Igari Yuki
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tunakuletea mahojiano na Igari Yuki, mshindi wa mashindano ya hotuba ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Soka nchini Japani.
Igari Yuki (kushoto) akihojiwa na Batlet Milanzi.
Igari Yuki akiwa na wenzake Wajapani.