Tutakuletea marudio ya mahojiano ya Mjapani aliyewahi kuwa mwanafunzi nchini Tanzania na kisha yale ya mwanamuziki Mtanzania.
Tutakuletea marudio ya mahojiano tuliofanya na Mjapani, Yamashiki Runa aliyewahi kuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania na kisha yale ya mwanamuziki mkongwe wa Tanzania, Fresh Jumbe anayefanya kazi zake nchini Japani.
Fresh Jumbe, mwanamuziki mkongwe wa Tanzania.
Yamashiki Runa, mwanafunzi wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.