Ripoti: Reuben Kyama atakusimulia safari ya msanii Mjapani, Yamashita Rui nchini Kenya.
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuletea pia ripoti iliyotayarishwa na Reuben Kyama kutoka mjini Nairobi, Kenya ikimwangazia msanii Mjapani anayeendesha kazi zake nchini humo.
Msanii Yamashita Rui akiwa na rafikiye Mkenya akionyesha baadhi ya kazi zake.
Msanii Yamashita Rui akionesha baadhi ya kazi zake.