Yamada Chiho
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na mtangazaji wa zamani wa Redio Japani, Yamada Chiho.
Chiho Yamada