Mahojiano na Frida Tomito na Ali Attas
Tutakuwa na marudio ya mahojiano ya Frida Tomito, mkurugenzi wa shirika la Sakura Vision Tanzania na Ali Attas, mtangazaji wa zamani wa Idhaa ya Kiswahili ya NHK, wote hao hivi karibuni wamepata tuzo kutoka wizara ya mambo ya nje ya Japani kwa mchango wao wa kukuza ushirikiano wa Japani na nchi za Afrika Mashariki.
Ali Attas
Frida Tomito