Mahojiano: Frida Tomito
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutakuwa na mahojiano na Frida Tomito, mkurugenzi wa shirika la Sakura Vision Tanzania ambaye hivi karibuni amepata tuzo kutoka wizara ya mambo ya nje ya Japani kwa mchango wake wa kukuza ushirikiano wa Japani na Tanzania.
Frida Tomito, mkurugenzi wa shirika la Sakura Vision Tanzania
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Sakura
Shule ya sekondari ya wasichana ya Sakura