Mahojiano na Ali Attas
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili.
Pia tutakuwa na mahojiano na Ali Attas, mtangazaji wa zamani wa Idhaa ya Kiswahili ya NHK ambaye hivi karibuni amepata tuzo kutoka wizara ya mambo ya nje ya Japani kwa mchango wake wa kukuza ushirikiano wa Japani na nchi za Afrika Mashariki.
Ali Attas