Heri ya Mwaka Mpya
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia utawasikiliza watangazaji na wafanyakazi wa Redio Japani wakikutakia heri ya mwaka mpya.
Martin Mwanje (kushoto) akiwa na Kagami-mochi: Pambo linalotolewa kama sadaka kwa Mungu siku ya mwaka mpya. Batlet Milanzi (kulia) akiwa na Hagoita: Pambo la mwaka mpya na pia watoto hukitumia katika mchezo kama wa mpira wa vinyoya.