Mahojiano: Chiho Yamada
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na Chiho Yamada aliyewahi kuwa mtangazaji wa kipindi cha Ukumbi wa Jumapili.
Chiho Yamada