Mahojiano: Dada Masayo
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na dada Masayo, Mjapani aliyewahi kuishi nchini Tanzania akizungumzia maisha yake wakati wa janga la korona.
Dada Masayo
Dada Masayo