Mahojiano: Yamashiki Runa
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutakuwa na mahojiano naye Yamashiki Runa, Mjapani aliyewahi kuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania. Ataelezea tajiriba yake nchini humo.
Yamashiki Runa akiwa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Runa akiwa darasani.
Runa akiwa ziarani Rwanda.