Mahojiano: Fresh Jumbe
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutazungumza naye Fresh Jumbe, mwanamuziki mkongwe wa Tanzania anayefanya kazi zake nchini Japani.
Fresh Jumbe, mwanamuziki Mtanzania anayeishi Japani
Jumbe akiimba jukwaani
Jumbe akitumbuiza katika tamasha la shule nchini Japani
Jumbe (kushoto) na wenzake.