Mahojiano: Tosha Maggy
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutazungumza na Tosha Maggy anayefanya kazi na shirika lisilokuwa la kujipatia faida la Terra Renaissance nchini Uganda.
Bi. Tosha Maggy (kushoto)
Bi. Tosha Maggy (aliyeketi mbele na kuvalia kitenge)
Mnufaikaji wa shirika la Terra Renaissance nchini Uganda
Mnufaikaji wa shirika la Terra Renaissance nchini Uganda