Mahojiano: Stella Mushy
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutazungumza na Stella Mushy, Mtanzania anayesomea shahada ya uzamivu nchini Japani.
Stella Mushy