Mahojiano: Festo Kasmir Shayo
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutazungumza na Festus Casmir Shayo, Mtanzania anayeishi Japani.
Festo Kasmir Shayo